Maswali Yaulizwayo (FAQ)
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
1. MATOKEONASI ni nini?
MATOKEONASI ni mfumo wa kidijitali wa kusimamia shule, unaosaidia kutayarisha ripoti za matokeo, kusimamia malipo ya ada, na kuwezesha mawasiliano kati ya shule na wazazi.
2. Je, mfumo huu unafanya kazi kwenye simu?
Ndiyo! MATOKEONASI umebunwa kwa njia inayowezesha kutumika kwenye simu yoyote, tablet, au kompyuta.
3. Je, data za shule yangu ziko salama?
Kabisa. Tunatumia ulinzi wa hali ya juu (SSL encryption) kuhakikisha taarifa zako zinalindwa kwa viwango vya kimataifa.