Sera ya Faragha
Sera ya Faragha
MATOKEONASI inaheshimu faragha ya watumiaji wake. Taarifa tunazokusanya zinatumika tu kuboresha huduma zetu.
Taarifa Tunazokusanya
- Jina, barua pepe, na namba ya simu ya mtumiaji.
- Taarifa za shule na wanafunzi kwa madhumuni ya usimamizi.
Jinsi Tunavyolinda Taarifa
Tunatumia ulinzi wa SSL na database zilizofichwa (encrypted) kuhakikisha usalama wa data zote.